VIHISISHI
Haya ni maneno ya mshangao au ya kutoa hisia za ndani za mhusika. Vihishi huishia kwa alama (!)
AINA ZA VIHISISHI
- Vya huzuni: kwa mfano, salale!
- Vya furaha/pongezi: kwa mfano, hongera!, Hoyee!
- Vya mshtuko: kwa mfano, Ala! Ebo!
- Vya kukubali/kuafiki: kwa mfano, Hewaa! Haswa! Naam!
- Vya kutokuwa na uhakika: kwa mfano, Eti/Ati!
MAREJELEO
- Kimani Njogu na Dorothy K. Nganje, kiswahili kwa vyuo vya ualimu: Jomo Kenyatta Foundation 2006
huduma nzuri sana and i will continue with this service thank you so much Asante sana
Karibu sana