
MAHITAJI
- Machungwa 5
- Sukari kikombe 1
- Maji kiasi
MATAYARISHO
- Osha machungwa uyachambue maganda kisha yaoshe tena baada ya kuchambua maganda
- Yakate vipande vidogo vidogo
- Yavuruge kwenye maji kidogo kisha uchuje
- Ongeza maji kidogo kidogo ukiendelea kuvuruga mpaka ladha ya machungwa ipotee (unaweza ukaongeza maji ya ndimu/limau kama machungwa hayakuwa na uchachu)
- Weka sukari ukoroge vizuri
- Weka kwenye fridge ishike baridi vizuri
- Andaa kwa pilau
KWA MAPISHI ZAIDI UTANIPATA
- Instagram@farwats_kitchen
- Facebook@farwat’s kitchen
- You tube@farwat’s kitchen