
MAHITAJI
- Carrots takriban 4_6 kubwa
- Malimau/ndimu 5
- Sukari kikombe 1 au kiasi chako
- Maji glass 4
MATAYARISHO
- Osha carrots vizuri usichambue maganda na uzikate vipande vidogo vidogo
- Kamua maji ya malimau na uhakikishe unatoa konde/kokwa zote
- Weka kila kitu kwenye blender na ublend vizuri
- Chuja na ueke kwenye jug au chupa ueke frijini
KWA MAPISHI ZAIDI UTANIPATA
- Instagram@farwats_kitchen
- Facebook@farwat’s kitchen
- You tube@farwat’s kitchen
❤❤❤