JINSI YA KUTENGEZA MILKSHAKE YA BISKUTI

MAHITAJI
▪Maziwa 500ml(nusu Lita)
▪ biscuits pakiti 3 za nuvita(unaweza ukatumia biscuits aina nyingine yeyote)
▪ Sukari kiasi chako
▪iliki iliosagwa kijiko 1 kidogo
▪ vanilla/ice cream flavour (sio lazima)
▪pep rose(sio lazima)

MATAYARISHO
▪Chemsha maziwa na iliki kisha yaache yapoe
▪weka biscuits kwenye maziwa Kwa dakika moja ili zilowame vizuri
▪Weka mahitaji yote kwenye blender ublend Kwa takriban sekunde thelathini.
▪Shake iko tayari, weka kwenye fridge
▪Andaa kwa keki au kitafunio chochote upendacho.

Kwa mapishi zaidi utanipata:
🔸 Instagram@farwats_kitchen
🔸 Facebook@farwat’s kitchen
🔸You tube@farwat’s kitchen

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *